njinjo reported: Unajua nikueleze ukweli, Diamond amekulia katika mikono yetu. Namkumbuka nikimuuliza kuwa ana matatizo yepi alipokuwa anadai kula wasichana nao wanakanusha.Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa kampuni hiyo katika kazi zake. Pia alidai familia ya Diamond inachangia kumharibi